Matjarplay > Games > Adventure > TatuaMzuka
 TatuaMzuka icon

TatuaMzuka

0 votes, غير متاح/

5

0$ Adventure

4.0.3 and up

TatuaMzuka

Download TatuaMzuka for android

The description of TatuaMzuka

TatuaMzuka inakupa nafasi ya kujishindia mamilioni ya TatuMzuka kwa kukupatia namba inayoweza kushinda.

Ukiwa na App Hii unaweza ukafanya haya yafuatayo:
?? Unaweza ukapata namba ya ushindi ya droo za TatuMzuka
?? Unapata matokeo ya droo za TatuMzuka
?? Unapata utabiri wa namba tatu za TatuMzuka
?? Unapata uwezo wa kuona washindi wa droo za TatuMzuka
?? Unapata uwezo wa kuhakiki namba yako ya bahati dhidi ya namba zilizoshinda
?? Unaweza ukachat na watu zaidi ya 50,000 na kujadili masuala mbali mbali yahusu Tatumzuka

Jinsi ya kuitumia
?Kwanza Download Application ya Tatua Mzuka hapa
?Kisha fungua Application yako, utaona maelezo ya kutumia application hii pamoja na kitufe chekundu na maandishi meupe kimeandikwa "BOFYA HAPA"
?Bofya hicho kitufe na subiria wakati namba ina tengenezwa.
?Baada ya muda namba tatu zitatokea pamoja na asilimia ngapi hio namba inaweza ikaibuka na ushindi.
?Ndani ya app utapata maelekezo zaidi juu ya namna unaweza kuitumia app hii.

TatuaMzuka, Ushindi ni Lazima.

Download TatuaMzuka for android direct link



TatuaMzuka 3.1.0 Update

2018-08-22

?- Added Push Notifications.
?- Improved Chat & Messaging.
?- Improved Ad Experience.
?- Improved User Experience.
?- Code & UI Improvements.

Get it on:
Get TatuaMzuka on Google Play

Similar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Comments:
Searching...

subscribe